30 Oktoba 2026 - 11:07
Hafla ya kuadhimisha siku ya 40 tangu kufariki kwa Ayatullah Shubayri Zanjani

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Hafla ya kuadhimisha siku ya 40 tangu kufariki kwa Marjaa Mkuu wa kidini, Ayatullah Shubayri Zanjani (Mwenyezi Mungu amrehemu), ilifanyika Alhamisi jioni, tarehe 29 Oktoba 2026, baada ya kuswaliwa kwa Sala ya Magharibi na Isha, katika Msikiti Mkuu wa Qum nchini Iran.

Hafla ya kuadhimisha siku ya 40 tangu kufariki kwa Ayatullah Shubayri Zanjani

Maoni yako

You are replying to: .
captcha